JamiiForums
JamiiForums
  • 2 133
  • 16 752 565
Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Bara ni Novemba 27, 2024
DODOMA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amesema, kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, Msimamizi wa Uchaguzi atafanya uteuzi wa Watumishi wa Umma watakaoandikisha na kuandaa Orodha ya Wapiga Kura siku 52 kabla ya siku ya Uchaguzi
-
Akitolea ufafanuzi kuhusu kanuni hizo, amesema, uandikishaji na uandaaji wa Orodha ya Wapiga Kura utaanza siku ya 47 kabla ya siku ya uchaguzi na utafanyika kwa muda wa siku 10 kwa kutumia fomu iliyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Kanuni hizo katika majengo ya umma
Aidha, Kanuni zimeeleza kama hakuna jengo la umma, uandikishaji utafanyika kwenye sehemu ambayo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atakuwa amekubaliana na viongozi wa vyama vya siasa.
Soma jamii.app/UchaguziTangazo
#Kuelekea2025 #Democracy #Governance #JamiiForums
Переглядів: 24

Відео

Waziri Mbarawa: Treni ya SGR itabeba mzigo wa tani 10,000 sawa na Lori 500
Переглядів 5014 днів тому
Waziri Mbarawa: Treni ya SGR itabeba mzigo wa tani 10,000 sawa na Lori 500
TPSF: Wafanyabiashara wanailalamikiaTRA kufunga akaunti na kuchukua fedha
Переглядів 6314 днів тому
TPSF: Wafanyabiashara wanailalamikiaTRA kufunga akaunti na kuchukua fedha
Mwabukusi: TLS ni Kiungo wa kuifanya Nchi yetu kukua Kiuchumi, Kisiasa na Demokrasia
Переглядів 8521 день тому
SHERIA: Leo Julai 26, 2024 Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam imetolea hukumu kesi iliyofunguliwa na Wakili Boniface Mwabukusi dhidi ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili Mahakama imetengua maamuzi ya kamati ya rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS Hapo awali Wakili Mwabukusi aliondolewa kwenye mchakato huo...
Deo Sabokwigina: Mfumo wa Elimu hauwaandai Wahitimu Kujiajiri
Переглядів 1621 день тому
Deo Sabokwigina: Mfumo wa Elimu hauwaandai Wahitimu Kujiajiri
Malembo Lucas: Tatizo linalokwamisha Vijana kuingia kwenye Kilimo na Ufahamu na Ufikiaji wa Masoko
Переглядів 1521 день тому
Malembo Lucas: Tatizo linalokwamisha Vijana kuingia kwenye Kilimo na Ufahamu na Ufikiaji wa Masoko
Meneja wa usambazaji maji MORUWASA, Eng Thomas Ngulika asimamishwa kazi
Переглядів 8721 день тому
Meneja wa usambazaji maji MORUWASA, Eng Thomas Ngulika asimamishwa kazi
Waziri Aweso: Wananchi kukosa Huduma ya maji ni uzembe wa MORUWASA
Переглядів 7421 день тому
Waziri Aweso: Wananchi kukosa Huduma ya maji ni uzembe wa MORUWASA
Rais Samia: Machifu waambieni Wanasiasa Vyeo havipatikani kwa kuua watu
Переглядів 6421 день тому
Rais Samia: Machifu waambieni Wanasiasa Vyeo havipatikani kwa kuua watu
Glory Benjamin: Matumizi ya Dawa za kupunguza uzito yanahitaji muongozo na Ushauri wa Kitaalamu
Переглядів 1928 днів тому
Glory Benjamin: Matumizi ya Dawa za kupunguza uzito yanahitaji muongozo na Ushauri wa Kitaalamu
Dr.Mashili: Dawa za Kupunguza uzito huongeza Mafuta Mwilini na kusababisha Magonjwa kama Kisukari
Переглядів 1628 днів тому
Dr.Mashili: Dawa za Kupunguza uzito huongeza Mafuta Mwilini na kusababisha Magonjwa kama Kisukari
IGP Wambura: Polisi haihusiki na utekaji watu
Переглядів 56Місяць тому
IGP Wambura: Polisi haihusiki na utekaji watu
Chalamila: Hatuwezi kuendesha Mkoa ukiwa na Migomo-migomo
Переглядів 41Місяць тому
Chalamila: Hatuwezi kuendesha Mkoa ukiwa na Migomo migomo
Wananchi wa Mburahati wamueleza Waziri Masauni "kuna viongozi wanawalinda waharifu waziwazi”
Переглядів 25Місяць тому
Wananchi wa Mburahati wamueleza Waziri Masauni "kuna viongozi wanawalinda waharifu waziwazi
Waziri Majaliwa: Mhandisi, Afisa Elimu, Mkurugenzi Wasimamishwe kazi na wafikishwe Mahakamani
Переглядів 30Місяць тому
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo. Ashangazwa kutumika kwa fedha yote ya ujenzi wa Bwalo lakini mpaka sasa halijakamilika. Bwalo hilo lilipangiwa sh. milioni 774 na wamekwishatumia sh. milioni 341 hadi kufikia hatua ya linta ambayo ni sawa na asilimia 40 ya u...
Mhandisi, Afisa Elimu Sekondari, Mkurugenzi Wasimamishwa Kazi, watakiwa kufikishwa Mahakamani
Переглядів 41Місяць тому
Mhandisi, Afisa Elimu Sekondari, Mkurugenzi Wasimamishwa Kazi, watakiwa kufikishwa Mahakamani
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 utafanyika katika Mitaa yote 564.
Переглядів 89Місяць тому
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 utafanyika katika Mitaa yote 564.
Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwisho Atadata
Переглядів 37Місяць тому
Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwisho Atadata
Waziri Aweso: Nimebaini DAWASA kuna Hujuma na Uzembe wa makusudi kwa baadhi ya Watendaji
Переглядів 34Місяць тому
Waziri Aweso: Nimebaini DAWASA kuna Hujuma na Uzembe wa makusudi kwa baadhi ya Watendaji
Meneja wa DAWASA Kinyerezi asimamishwa Kazi kwa kushindwa kutekeleza Majukumu
Переглядів 22Місяць тому
Meneja wa DAWASA Kinyerezi asimamishwa Kazi kwa kushindwa kutekeleza Majukumu
Kaimu Mtendaji Mkuu, Mkurugenzi wa Uzalishaji DAWASA wasimamishwa Kazi kwa Uzembe
Переглядів 131Місяць тому
Kaimu Mtendaji Mkuu, Mkurugenzi wa Uzalishaji DAWASA wasimamishwa Kazi kwa Uzembe
Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa Vibali kinyume cha Sheria
Переглядів 84Місяць тому
Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa Vibali kinyume cha Sheria
Mchungaji Msigwa ajiunga CCM na Kutambulishwa katika Mkutano wa NEC
Переглядів 54Місяць тому
Mchungaji Msigwa ajiunga CCM na Kutambulishwa katika Mkutano wa NEC
Waziri Mkuu aagiza kila Taasisi ya Umma kutenga Fedha katika Bajeti ili kulipa Fidia za Ardhi
Переглядів 78Місяць тому
Waziri Mkuu aagiza kila Taasisi ya Umma kutenga Fedha katika Bajeti ili kulipa Fidia za Ardhi
Nape: TCRA Ichunguze wanaodhalilisha Watu Waliowakopesha Mtandaoni
Переглядів 44Місяць тому
Nape: TCRA Ichunguze wanaodhalilisha Watu Waliowakopesha Mtandaoni
Bunge Lamfungia Mpina Vikao 15 kwa kudharau Mamlaka ya Spika
Переглядів 11Місяць тому
Bunge Lamfungia Mpina Vikao 15 kwa kudharau Mamlaka ya Spika
Serikali yasitisha Kamatakamata na Ukaguzi wa Risiti za EFD Kariakoo
Переглядів 42Місяць тому
Serikali yasitisha Kamatakamata na Ukaguzi wa Risiti za EFD Kariakoo
Sakata la Mbunge Luhaga Mpina na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Vikao 15
Переглядів 126Місяць тому
Sakata la Mbunge Luhaga Mpina na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Vikao 15
Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika
Переглядів 78Місяць тому
Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika
Serikali yasitisha Kamata kamata na Ukaguzi wa Risiti za EFD Kariakoo
Переглядів 45Місяць тому
Serikali yasitisha Kamata kamata na Ukaguzi wa Risiti za EFD Kariakoo

КОМЕНТАРІ

  • @sandalakabalo5442
    @sandalakabalo5442 21 годину тому

    Jaman haya maisha

  • @Jeremiahlukumay
    @Jeremiahlukumay 10 днів тому

    wanaondoka wazuri,Wanabaki waizi wa Mali ya umma,mbn kikwete ndio rais wa nne?SI angetangulia kwenda mbinguni jinsi alivyotangulia kuwa rais.

  • @virginiabenito3966
    @virginiabenito3966 14 днів тому

    Waziri aache kuhukumu watu wasio husika wakat makosa anayajua fika kua anawaonea

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 20 днів тому

    Eti you belong to!!!! Phrase ya yanga hiyo !

  • @medardsotta5211
    @medardsotta5211 21 день тому

    Ruhusuni Starlink acheni ubabaishaji, tunataka Internet yenye kasi!

  • @fredrickmathias6478
    @fredrickmathias6478 21 день тому

    Leo ni 2024 July,kiko wapi?? Usiue wala kudhurumu,mshahara wa dhambi ni mauti

  • @fredrickmathias6478
    @fredrickmathias6478 21 день тому

    2024 God did

  • @IsiraeliMolly
    @IsiraeliMolly 24 дні тому

    Nakupenda sana magufuli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @yveslukulirwa7455
    @yveslukulirwa7455 24 дні тому

    Mwisho ni kifo

  • @josephdimosopantaleomadegh7599
    @josephdimosopantaleomadegh7599 25 днів тому

    Amejibu mbona yeye ndo mtendaji mkuu wa serikali yeye ndo msimamizi mkuu wa serikali yeye ndo mtoaji mkuu wa pesa kwaiyo aliamua asitoe atoi akiamua kesho sitaki muende kazini amuendi kwaiyo aitakiwi raisi kupigwa na kuulizwa kwanini atoi ela za safali na kwanini anatowa hela kwa wagonjwa anatimiza wajibu wake kutokana na tulivyo mwamini.

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 26 днів тому

    Ahhhh msigwaaaa

  • @communicativegirls4433
    @communicativegirls4433 27 днів тому

    This woman is brilliant ❤

  • @mozanmozan1609
    @mozanmozan1609 Місяць тому

    kwaiyo ss Watt wetu wario enda basi arudishe musitusumburie wtt wetu kira siku amupitishi kinacho takiwa

  • @user-xb5td1jl3u
    @user-xb5td1jl3u Місяць тому

    Ni rahisi kufahamu bei za bidhaa nchi za nje

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 Місяць тому

    2024

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj Місяць тому

    Aliapy

  • @user-oc8kw7xr8m
    @user-oc8kw7xr8m Місяць тому

    Asanteee

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 Місяць тому

    Mmmmmh

  • @respeacemgawe7387
    @respeacemgawe7387 Місяць тому

    Labda viongozi wamejifunza kitu kutoka kwenye AIBU hii

  • @respeacemgawe7387
    @respeacemgawe7387 Місяць тому

    Kwani huyu mzee bado ni Professor wa chuo gani?

  • @respeacemgawe7387
    @respeacemgawe7387 Місяць тому

    Kwani hii ndo kamati ambayo Mh. Tundu Lissu alizungumzia bungeni? Kama alisema kamati ya Prof. Mruma na Prof. Osoro sijui ni professerial...?

  • @officialbabaivan
    @officialbabaivan Місяць тому

    Bunge ni lakishamba sana saiv

  • @kalamuyangu1
    @kalamuyangu1 Місяць тому

    Ifike pahala hoja zijibiwe kwa hoja.

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 Місяць тому

    Yaone yanavyojichekesha shenz kabisa

  • @AbubakaryOmary-qw5dk
    @AbubakaryOmary-qw5dk Місяць тому

    Serikari ya hovyo sijawahi kushuhudia

  • @user-ge2ll3gf2x
    @user-ge2ll3gf2x Місяць тому

    Ona lilivyopauka

  • @user-ge2ll3gf2x
    @user-ge2ll3gf2x Місяць тому

    Hi takataka wangebakinayo huko mbeya tu ! Utumbo usiokamuliwa huwa unaliwa kwaradha mbili tofauti.

  • @lightnessalex7084
    @lightnessalex7084 Місяць тому

    Thanks mheshmiwa pinda

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 Місяць тому

    MAJUTO YA NINI WAKATI TRA NDIO WAPUMBAVU

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke Місяць тому

    Nimesikiliza maswali yote na maswali yote yatajibiwa na kujibiwa bila ubaguzi kwa swali lolote Mungu ndiye Mlinzi.☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻

  • @StephenKitura
    @StephenKitura Місяць тому

    Fanya kazi bas dhibiti wizi

  • @IssaMbaga
    @IssaMbaga Місяць тому

    Hongera sana majukumu mema

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 2 місяці тому

    Shida sio deni! Mmekuwa wabinafsi sana na wezi msio na aibu! Km mwenye mbwa anawaruhusu mle urefu wa kamba zenu! Hapa pana usalama wa pesa zetu kweli! Na jinsi watu wasivyokuzingatia hawataki hata kuangalia upuuzi wako

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 2 місяці тому

    Maguful alimfukuza kinana...leo hii kinana makamu mwenyekiti...

  • @davideditz2049
    @davideditz2049 2 місяці тому

    Serikal wanajua internet zetu mbovu badala wairuhusu wanaikata

  • @aminbhulji1677
    @aminbhulji1677 2 місяці тому

    Hao askari wa usalaama traffik na matochi kwakweli kwao umekua mradi mkubwa sana lakini hao wote kesho kwa mungu wote wata kwenda motoni.

  • @daniellyimo378
    @daniellyimo378 2 місяці тому

    Hapa ndo upinzani Kuna shida

  • @musangassa7543
    @musangassa7543 2 місяці тому

    Allhamdulillah

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 2 місяці тому

    Je ilikusaidia nini ?

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 2 місяці тому

    Hivi mtu anashangiliwa kwa kila anachokiongea !

  • @georgekamosi9501
    @georgekamosi9501 2 місяці тому

    Kabla hujataka kuheshimiwa anza na unyenyekevu

  • @SalminiAmur
    @SalminiAmur 2 місяці тому

    Jeshi lapolisi ndio lifanya udaganyifu na kutapeli laiya mtakuwa mnayo majibu mbele ya ALLAH

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 2 місяці тому

    Neno la Mungu linasema, Mithali 15:33 "Kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu" na tena "mwanamke wa adabu huheshimiwa siku zote- Mithali 11:16. Sasa anaongea kwa kudeka halafu anataka asikemewe. Wanawake wengi wao wanataka kuheshimiwa huku wao wenyewe wanadharau kwa waume zao na kiburi.

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 2 місяці тому

    Kauli kama hizo akikemewa mwanaume si kudhalilisha ila kwa mwanamke. Huu udhaifu wazi wa wanawake katika kujihisi umwanamke. Inafika sasa wanawakre hata wajibu wao nyumbani, nguo zao za kike, michezo yao wanaikataa kwa fikra zile za kukataa jinsia. Mume akinyanyaswa si kosa, ila wao wakinyanyaswa na mwanamume wanakimbilia Dawati au TAMWA. Akimtaka mwanamume si kosa ila akitakwa yeye tayari ni kesi na hasa kama aliyekuwa anamtaka ana hela. Biblia imesema kuwa wanawake ni wasingiziaji.

  • @AidaniKahama
    @AidaniKahama 2 місяці тому

    Waliopigwa tochi za uonevu wakaandikiwa walilalamika na kuwekwa lokap wakati hawazidi mwendo nini fidia yake

  • @user-yh7yo5fo8x
    @user-yh7yo5fo8x 2 місяці тому

    Acheni umaandazi Sawa acheni Mkuuu WA MKOA afanye kazi hakuna pendekezo hapo acheni upuuzi MTU anafanya kazi vizur nyie mnaleta upuuzi wenu

  • @user-km5eg5ze6m
    @user-km5eg5ze6m 2 місяці тому

    Sionhoja hizo tako wewe

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 2 місяці тому

    Waongezeni mishahara mda mwingine sio wao njaaa ww mtu anaishi kwa mikopo unategemea iwe nini

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 2 місяці тому

      sasa kwani si wamekopa wenyewe? au wamelazimishwa wakope? hatua stahiki ilochukuliwa na jeshi la police kwan limekua ni fundisho kwa wengine

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 місяці тому

      Mshahara ukiwa mdogo unautumia kwa kijibana na mikopo walichukuwa kwa shida zao kwa hiyo wasitafute wepesi kwa kudhumu raia, jeshi la police ndilo linaloongoza kwa uhalifu nchi

  • @AidaniKahama
    @AidaniKahama 2 місяці тому

    Je watu wameandikiwa fine kwa uonevu nini hatma yake

  • @piusrweyemamu3900
    @piusrweyemamu3900 2 місяці тому

    Mh Makonda aendelee kufanya kazi.